Monday, January 21, 2013

UKUTA WA STAND YA UBUNGO WAANGUKA,WAJERUHI WATU 4 NA KUHARIBU MAGARI 24.

Leo Alfajiri ukuta wa stand ya mabasi ya endayo mikoani Ubungo jijini Dar es salaam, umeanguka na kuzusha hofu kwa wasafiri.
Inadaiwa kuwa watu wanne wame jeruhiwa huku magari 24 yaliyo kuwa yame egeshwa  mahari hapo na kuharibika vibaya. Kamanda Polisi mkoa wa Kinondoni,  Charles Kenyela alikuepo kwenye eneo la tukio na aliongea na waandishi wa Habari.

Chanzo cha Ajali hiyo ni mkandarasi aliyekuwa akibomoa ukuta huo bila ya kuchukua tahdhari. Hizi ni Baadhi ya Picha za tukio



















No comments:

Post a Comment