AJINYONGA KISA MAPENZI.
Mkazi wa Buguruni Gana jijini Dar es salaam aliyefahamika kwa jina moja la JAMES leo asubuhi amekutwa kajinyonga maeneo ya nyumbani kwake Sababu za kujinyonga bado hazija julikana.
Tetesi zinz sema kuwa ameji nyonga kisa ni wivu wa mapenzi.
![]() |
| Mashuhuda wakiwa Eneo la Tukio. |
![]() |
| Mwili wa Marehemu ukiondolewa sehemu ya Tukio,Buguruni kisiwani Dar es salaam. |


No comments:
Post a Comment