![]() |
Ingawa hayati Michael Jackson alidai amezaa watoto wote watatu, kume kuwa na tetesi siku nyingi kuwa alitumia ''Sparm Donor'' {kutumia mbegu za wanaume wengine}.
Na sasa daktari wake wa zamani Dr. Arnold Klein ameibuka na kusema kwa mafumbo, kuwa yeye ni baba halali wa Michael mwenye miaka 15,Prince Michael.
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Klein ali posy picha yenye fumbo kwenye ukurasa wake wa Facebook,
Jan 17, ina onyesha jinci Price Michael anavyo fanana na Klein alivyo kuwa mdogo na kuiandkia maneno ,
''hmmmmmmm''
![]() |


No comments:
Post a Comment