Friday, December 7, 2012

BEYONCE AMTUNZA MUMEWE JAY Z SAA YA BILION 6.


Inadaiwa kuwa Beyonce ame mzawadia Mumewe Jay z saa ya Dolla milion 5 sawa sawa na Shilingi
bilioni sita za Kitanzania. Zawadi hiyo ni ya Birthday ambayo Jay z husheherekea kila December 4,
Saa hiyo iliyo tengenezwa kwa Almac ni aina ya HublotBig Bang- saa ya mkononi yeyney gharama zaidi Duniani.
Kampun ya Kifaransa inayo tengeneza saa hizo ,LVMH imedai huchukua watu 17 na miezi 14 kubuni na kutengeneza saa kma hiyo.


Hii si mara ya kwanza kwa Beyonce kumzawadia mumewe ghali kma hii kwani hata mwaka jana alimzawadia gari aina ya Bugatti yenye thamani ya Euro milion 1.8.
Si ajabu Beyonce kumwaga pesa kiasi hicho kwani kwa mwaka huu pekee ame ingiza Euro milion 32 kwa kazi yake ya Muziki na Biashara zake.





















1 comment: