![]() |
| Jessica Honore |
ya moto
coz imesha tayarishwa na kurushwa na
Exclusive Media Team.
Nyimbo inaitwa NAPOKEA
Muimbaji ni JESSICA HONORE
Imefanywa na kampuni ya
EXCLUSIVE MEDIA
Director wa video ni GODIE
Video kali ya mwanadada Jessica ipo hewani
na ina bamba ile mbaya,
Exclusive Media
imekusudia kuleta mabadiliko
katika video za mziki wa njili
kwa kufanya video zenye ubunifu
na ubora wa hali ya juu.
![]() |
| Ally Fabregas (Graphics designer) |





Ebanaaeeeee imetulia ile mbaya.
ReplyDelete