Wednesday, December 12, 2012

UKWELI KUHUSU HABARI YA MIKE TYESON.


Huu ndo ukweli kuhusu Habari iliyo tapakaa siku nzima ya leo kuwa mpiganaji mashuhuri wa Ngumi za kulipwa Mike Tyson kuwa amefanyiwa upasuaji na kuwa Mwanamke ni za uongo.Magazeti mengi leo yame ingia chaka kuhusu habari hii na baadhi ya magazeti hayo ni  Mwananchi lililokuwa na kicwa cha Habari"Tyson adaiwa kubadili Jinsia".
Ukweli wa Uzushi huu ni kuwa kuna mtandao una ongoza kuandika Habari za kizushi unao itwa, http//www.newbiscuit.com mtandao huu umesha zusha mambo mengi ya Uongo juu ya Wasanii na watu maarufu Duniani.

Kuhakikisha Habari hii ni ya Uongo ni Maelezo yote kufanana na Hakuna hata Chombo cha Habari kikubwa Duniani Kudhibitisha Habari hii na Magazeti ya Udaku kama The Sun,TMz,Mediatakeout na Mangineyo kuandika kuhusu Habari hii.



No comments:

Post a Comment