Tuesday, January 22, 2013

JUX ''WAKACHA'' AKAMATA MODEL JACKIE CLIFF.

Jux na Jackie wakipata Msosi


Mkali Jux kutoka ktk kundi la''Wakacha'' Amesha dondokea mikononi mwa mtoto mkali Model Jackie Cliff ambaya amesha onekana katika video tofauti za Bongo Flavour kma ''Nataka kulewa ya Diamond'' na ''She got gwan ya Ngwair.

Kupitia akaunti ya Instagram Jackie ame post picha akiwa na Jux na kuandika, ''Dinner date with @Juma-Jux in Garden Hotel.'' Jux nae kwenye akaunti yake ame post picha ya Jackie akijaribu kuvaa viatu vyake na kuandika,''bby tryn them #me  Jordans.....#dope though.''


Jackie akijaribu viatu vya Jux.




No comments:

Post a Comment