Monday, January 21, 2013

BOB JUNIOR ACHA UHUNI SASA UMESHA KUWA BABA.



Wiki iliyopiya Producer na msanii wa Bongo Flavour ''Bob Junior'' na Mkewe walipata mtoto wa kiume.Hizi ni Baadhi ya Picha za Rais wa Masharobaro na Familia yake wakiwa na mtoto wao.



Bob Junior na Mwanae



Bob Junior, Mkewe na Baba Ake.






No comments:

Post a Comment