Tuesday, November 13, 2012

KAULI YA MWISHO YA LORD EYEZ.

Lord eyez na Millard Ayo " mi ninachosema wasimuhukumu mtu kwanza wala wasipandwe, wanahitaji kujua ukweli na wasifanye matukio yoyote ambayo ni ya uvunjaji wa sheria na pia wachague marafiki, wawe wastaarabu, wawe wapole na wawe na subira… wasimjengee chuki binadamu, mi mwenyewe nimekua mtu wa kusamehe sana ndio maana nakwambia wamwachie Mungu, kwa kuwa mimi sina chuki na mtu siwezi kumshauri mtu awe na chuki na mtu lakini malipo ni hapahapa duniani na Mungu yupo wamwamini sana sababu ndio anafanya kila kitu”















No comments:

Post a Comment