![]() |
Jana Rais Barack Obama aliapishwa mbele ya umma kwa awamu ya pili ya Urais wa Marekani katika sherehe zilizpfanyika jijini Washington DC. Beyonce ni Rafiki wa karibu wa Familia hiyo aliimba wimbo wa Taifa na baadae Obama na Mke wake Michelle walijumuika kwenye ''dance'' ya pamoja mbele ya mamilioni ya watu waliokuwa wakishuhudia sherehe hizo.Hizi ni baadhi ya picha za sherehe.
![]() |
![]() |
![]() |
Obama na mkewe wakicheza mziki. |
![]() |
![]() |
Sasha na Malia Obama. |
![]() |
Jay z na Rihanna wakiwasili. |
![]() |
Rihanna akisalimiana na Michelle. |
![]() |
Rihanna aki imba nyimbo ya Taifa. |
![]() |
Obama akimpigia makofi Rihanna baada ya kuimba Nyimbo ya Taifa. |
![]() |
Beyonce na Jay z wakisalimiana na wageni wengine waalikwa. |











No comments:
Post a Comment