| Waziri na Salma |
| Kitime na Salma |
Leo ilikuwa sherehe kwa Salma kufika maskani yake ya kawaida baada ya
wiki kadhaa za ushindani wa Epic Bongo Star Search, ambapo aliweza
kufikia kuwa mshindi wa pili. Kama kawaida alifika hapa na kuimba wimbo
wa Ndugu Zangu... Congratulations Salma, ukiamua kufwata muziki utafika
mbali.
No comments:
Post a Comment