Thursday, January 31, 2013

RIHANNA AFUNGUKA KWENYE JARIDA LA ROLLING STONE SABABU ZA KUMPA CHRISS BROWN ''SECOND CHANCE''


Rihanna amefunguka mengi kuhusu uhusiano wake na Chriss Brown na kuweka wai kwanini amempa Chriss Brown ''Second Chance''

''Niliamua ilikuwa muhimu zaidi kwa mimi kuwa nafuraha'', aliliambia jarida lijalo la Rolling stone.''Siku taka kuacha mtazamo wa mtu yeyote hata kama ni kosa.''
Katika toleo la Rolling stone litakalo toka Kesho, Rihanna amee eleza vitu vilivyo badilika kati yao.

No comments:

Post a Comment