Thursday, January 31, 2013

''BABYLON'' MR BLUE ATUPIWA VITU NJE.



Msanii wa Bong Flavour Mr Blue anadaiwa kutupiwa vitu vyake vya ndani leo mchana Nyumbani kwake Posta jijii Dar es salaam anko ishi na Mjomba wake.
Chanzo cha Habari hii kime eleza kuwa, Mr Blue a.k.a Bayser Ametolewa vitu vyake nje na watu washirika la Nyumba la Taifa, Baada ya kujilimbikizia vyumba viwili kwa njia ya Udanganyifu bila Malipo yoyote.

1 comment: