
Msanii wa Bongo Flavour Izzo B anatarajia kuachia Ngoma yake mpya inajulikana kama ''Ball Player''
Amemshirikisha Quick Rocka na Ngwair.
Ameema kuingia na wazo la Ball Player ni kulinganisha juhudi za mchezaji mpira awapo uwanjani ambaye uwa na pilika pilika jinsi ya kutumia mfano huu katika maisha.
No comments:
Post a Comment