
Msanii mwenye vituko Wema Abraham Sepetu, anae fanana na Kim Kardashian hv karibuni ame ame post picha za Garu yake mpya kwenye akaunti yake ya Instagram.Gari ya Audi Q7 yenye rangi nyeusi inaonekana kwenye akaunti ya Wema alipokuwa Beach hv karibuni na kuiandikia Caption ''my bby at da beach''
Kwenye akaunti ya Meneja wake Martin Kadinda pia kuna picha nyingine ya Gari hiyo aliyoiandikia maneno, ''# Maisha sio Manhattan........You creat your own Manhattan in Tz....Hata kma niya Muda Mfupi.
![]() |
Gharama ya ndinga inaweza kuanzia milion 70 na kuendelea. |


No comments:
Post a Comment