Tukio baya limetokea majuzi,Magomeni mapipa, Tukio hilo ni la mauaji ya kikatili, likifanyika majira ya mchana wa saa 7 kweupe.Mzee aliye chinjwa ana tambuli kwa jina Aine aine au Babajua Baba. Taarifa kamili tutakujuza zaidi.
 |
| Marehemu, Fredy( Babajua)Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahari Pema peponi Aaaamen. |
No comments:
Post a Comment