Thursday, December 13, 2012

WATU WAWILI WATAKA KUMU UA BIEBER.




Watu wawili wametiwa mbaroni baada ya kugundulika kuwa walitaka kumhasi na kumua Mwanamziki mashuhuri Justine Bieber.Watu hao walio julikana kwa majina ya Mark staake na Tanner Ruane.
Mark staake na Tanner Ruane wanadai kuwa wame tumwa na Jamaa anayejulikana kma Dana Martin,
Dana Martin ni muuaji anaye tumikia vifungo viwili vya Maisha vya kubaka na kuua.
Wanasema kuwa aliwaagiza kufanya kitendo hicho pindi Justine Bieber alipokuwa anafanya shoo mjini New york kwenye eneo la Madison Square Garden.
Dana amejichora Tatoo ya Bieber katika mguu wake na ame waelezea  Polisi juu ya kumteka Bieber na Body guard wake.

No comments:

Post a Comment