Saturday, December 15, 2012

HEMEDY(PHD) NA RAY C TENA?



Hemedy Suleiman maarufu PHD,amedondokea kwa msanii wa kike ambaye juzi tu ametoka kutoa Shukrani zake kwa Baba wa nchi (Ray c).
Kwa mujibu wa Sura ya Kitabu(Fb) Msanii huyo wa R&B ambaye pia na muigizaji wa filamu, Anatarajia kufanya ngoma yake mpya na Ray c.

Dar 10x God Ray c amerecover tumsubirie kwny ngoma yng very sooooooooon,Inaitwa I miss u very hoot treck production inafanyika Kili Record.aliandika Hemedy.

No comments:

Post a Comment