Wednesday, October 17, 2012

WAJUMBE WA CCM WAPATA AJALI MWANZA.

Baadhi ya wanachi wakiwa eneo la Tukio.
Wana usalama Barabarani wakipima ajali hiyo iliyo sababisha kifo  cha mtu mmoja  ambaye  ni dereva  wa basi lenye namba za usajili T 853 BRB lililo kuwa na wajumbe CCM kutoka wilaya ya kwimba Mkoani Mwanza leo.

Basi lenye namba za usajili T853 BRB lililo kuwa na wajumbe wa CCM  ikiwa
katikati ya barabara mara baada ya kupata ajali.

No comments:

Post a Comment